Nuacht

Chama cha ACT Wazalendo kimeanza mchakato wa upigaji wa kura za maoni ili kuwapata wagombea wa nafasi ya ubunge, uwakilishi ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, Julai 11, ...
Jopo la madaktari bingwa kutoka Marekani, kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), ...
Katika hatua iliyowashangaza wengi, waendesha mashtaka nchini Marekani wamefuta baadhi ya mashtaka dhidi ya mwanamuziki Sean “Diddy” Combs, siku moja kabla ya kusikilizwa kwa hoja za ...
Asilimia 75 katika vyakula 400 vya kusindikwa vilivyofanyiwa utafiti vinavyouzwa hapa nchini vimebainika kutokuwa na ubora wa ...
Kupitia Mpango wa Ufadhili wa Masomo wa EACOP na WASCO ISOAF, jumla ya wanafunzi 124 wa Kitanzania wamepata ufadhili wa masomo, ikiwa ni ushahidi thabiti wa kujitolea kwa kampuni hizo ...
Wananchi wa Zanzibar wametakiwa kuachana na muhali na kushirikiana kwa dhati na vyombo vya dola kuwafichua watu wakubwa ...
Watu kuhama nchi zao kwa kipindi fulani na kwenda kuishi ughaibuni sio jambo geni kwani ni utamaduni wa miaka mingi, ...
Wakati kesi ya maombi ya mapitio iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ...
Baada ya ukimya na minong’ono mingi kuhusu hatma yake, Leicester City hatimaye imethibitisha kuachana na kocha wa Kiholanzi, Ruud van Nistelrooy, hatua inayokuja siku chache kabla ya ...
Mahakama ya Rufaa imebatilisha adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyokuwa amehukumiwa Shabani Juma, aliyekutwa na hatia ya ...
Juni 23, 2025 Carbon Tanzania ilizindua ripoti yake ya mwaka 2024, ikionyesha faida kubwa kwenye miradi yake ya kulinda misitu kwa jamii, bioanuwai na mazingira nchini. Lengo kuu la ripoti hii ...