Nuacht

Jaji wa mahakama nchini Marekani, amemwagiza mkuu wa jeshi la mashariki mwa Libya, mbabe wa kivita Khalifa Haftar, kuzifidia familia za walalamishi nchini humo wanaodai kuwa aliagiza kuteswa na ...
Mbabe wa kivita mashariki ya Libya, Khalifa Haftar, amemteua moja wa wanawe wa kiume Saddam Haftar kuhudumu katika wadhifa wa mkuu wa jeshi hatua inayoifanya familia yake kuchukua zaidi udhibiti ...
Uturuki imesema kuwa vikosi vya kiongozi wa Libya Khalifa Haftar ''vitalengwa'' ikiwa hawatawaacha huru haraka raia sita wa Uturuki. Vikosi vya Jenerali Haftar vilisema siku ya Ijumaa kuwa ...
Umurwi IS uvuga ko wateye ikirindiro ca Jenerali Khalifa Haftar mu bumanuko bwa Libya. ... Abarwanyi b'umuhari Libyan National Army (LNA) bahanganye n'abarwanyi ba leta ya Libya ishigikiwe na ONU.
27.09.2023 27 Septemba 2023. Mbabe wa kivita mashariki mwa Libya Khalifa Haftar amekwenda Urusi jana Jumanne kwa ajili ya kuzungumzia hali katika taifa hilo lililokumbwa na mafuriko na kuharibiwa ...
Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake waapa kuendeleza operesheni kuelekea Tripoli licha ya mwito wa Urusi na Uturuki kutaka mapigano yasitishwe ifikapo Januari 12.